Jambo Rafiki Zangu,
nataka wewe uh download TruckersMP kwasababu itakua raha kucheza na rafiki Zetu ambao wajua Kiswahili, lazima you fanishe account on TruckersMP.com alafu link account yako na steam
Ukisha Fanya, download on main page ya hiyo website alafu waweza kutembeza na waswahili wengine na watu abao si waswahili, Kama iko shida, comment hapo chini
asante
- SpeedySuliHD