Jump to content

Recommended Posts

Jambo Rafiki Zangu, 

 

nataka wewe uh download TruckersMP kwasababu itakua raha kucheza na rafiki Zetu ambao wajua Kiswahili, lazima you fanishe account on TruckersMP.com alafu link account yako na steam 

Ukisha Fanya, download on main page ya hiyo website alafu waweza kutembeza na waswahili wengine na watu abao si waswahili, Kama iko shida, comment hapo chini 

 

asante :)

- SpeedySuliHD

Link to post
Share on other sites

Create an account or sign in to comment

You need to be a member in order to leave a comment

Create an account

Sign up for a new account in our community. It's easy!

Register a new account

Sign in

Already have an account? Sign in here.

Sign In Now
×
×
  • Create New...