SuliHD Posted January 29, 2017 Share Posted January 29, 2017 Jambo Rafiki Zangu, nataka wewe uh download TruckersMP kwasababu itakua raha kucheza na rafiki Zetu ambao wajua Kiswahili, lazima you fanishe account on TruckersMP.com alafu link account yako na steam Ukisha Fanya, download on main page ya hiyo website alafu waweza kutembeza na waswahili wengine na watu abao si waswahili, Kama iko shida, comment hapo chini asante - SpeedySuliHD Link to comment Share on other sites More sharing options...
Recommended Posts
Create an account or sign in to comment
You need to be a member in order to leave a comment
Create an account
Sign up for a new account in our community. It's easy!
Register a new accountSign in
Already have an account? Sign in here.
Sign In Now