Search the Community
Showing results for tags 'swahili'.
-
Habari zenu rafiki, nataka kuuliza kama hiyaweza kutumiwa vile nimepigania na nime ona watu moja moja tuu. Tulete watu hapa Kama unataka kuniuliza kitu, nitumie PM kwa hii forums. kwaherini
-
Habari zenu! Nimepigania hii discussion ifunguliwe sasa hitumiki, mimi ndoo natia maa posti tuu. Nasikia vibaya, kwasani yako, tumia hii discussion vile nataka kuaonehsa mwenye campuny hii kama watu watumia hii discussion.. hebu tuanzeeee! Kwaheri
-
Habari Zenu Nimetaka hii kwajili lazima tuu ongeze watu kutoka Kenya na Tanzania ku tebeza na sisi na kama una shida, njoo kwangu. - SpeedySuliHD
-
Jambo Rafiki Zangu, nataka wewe uh download TruckersMP kwasababu itakua raha kucheza na rafiki Zetu ambao wajua Kiswahili, lazima you fanishe account on TruckersMP.com alafu link account yako na steam Ukisha Fanya, download on main page ya hiyo website alafu waweza kutembeza na waswahili wengine na watu abao si waswahili, Kama iko shida, comment hapo chini asante - SpeedySuliHD